+255 623 276 539
BIDHAA ZETU
Chagua fresh chicken, smoked chicken, vipande vya kuku na KUKUGOLD AkDud Chicken Powder.
KUKUGOLD Fresh Chicken ni kuku fresh wa ubora wa juu, wanaoshughulikiwa kwa usafi, kukaguliwa kwa makini na kusafirishwa kwa njia inayosaidia kuhifadhi freshness na ubora hadi wanapomfikia mteja.
Kuku aliyesindikwa kwa moshi wa asili, mwenye ladha ya kipekee, nyama laini na harufu nzuri ya moshi.
Vipande fresh vya miguu ya kuku, vinavyofaa kukaanga, kuchoma, kuoka au kupika kwa mchuzi.
AkDud Chicken Powder kwa supu, mchuzi, noodles na zaidi.